DAKA CODE John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
-
- News
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili.
Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
-
Mabadiliko mapya ya Teknolojia | Akili Bandia kwa Creators
-
Jyner Lucas amtetea Chris Brown | iPhone 15 zinaonyesha taarifa nyingi za Betri | App zinazomaliza data kwenye simu
-
Kifo cha msanii Mohbadi kimeleta utata | iOS 17 inatoka leo | Jinsi ya kuhifadhi video za Instagram kwa kutumia Telegram
-
Davido anatoza dola 600k kwa show moja | WhatsApp itaweka sehemu mpya | App 5 zinazotumia Akili Bandi kutengeneza video
-
Albums na Songs mpya za wiki hii | Clubhouse imebadilisha mpangilio wa app yake | Hatua 5 za kufuata kwa content creator mpya anayeanza
-
Burna Boy ameshirikishwa katika soundtrack ya NBA 24 | Instagram na TikTok zitaweka mabadiliko mapya | Sababu zinazopelekea bundle za simu kuisha haraka