1 episode

Sikiliza OSHA PODCASTS kutoka kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA).OSHA ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, yenye jukumu la kusimamia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi Tanzania bara.Katika ukurasa huu utapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu usalama na afya mahali pa kazi kupitia mfululizo wa vipindi vya KAZI SALAMA MAISHA SALAMA kwa njia ya sauti.

OSHA Podcasts OSHA Tanzania

    • Education

    Upatikanaji wa huduma za usalama na afya kwa njia ya Mtandao

    Karibu katika mfululizo wa vipindi vya kazi salama maisha salama podcasts, kipindi hiki kinaangazia upatikanaji wa huduma za usalama na afya kwa njia ya mtandao

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/osha-tanzania/message

    • 24 min

Top Podcasts In Education

All Ears English Podcast
Lindsay McMahon and Michelle Kaplan
Beginner Spanish with Spanish Obsessed
Spanish Obsessed
TED Talks Daily
TED
Motivation Daily by Motiversity
Motiversity
Не учи меня жить
Научись искусству помощи себе (с Аленой Борьессон)
Deutsch Podcast - Deutsch lernen
Deutsch-Podcast