Doctor Rafiki Afrika Doctor Rafiki
-
- Health & Fitness
-
Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya familia yako na jamii kiujumla.
-
JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MWILI BAADA YA CHANJO
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo.
-
FAHAMU UTARATIBU WA CHANJO TANZANIA
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia
Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu. -
JE? UNAFAHAMU NINI KUHUSU CHANJO
Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU
-
HAKI ZAKO ZA MSINGI UNAPOPATA HUDUMA ZA AFYA
Karibu kwenye episode ya leo ndani ya Doctor Rafiki Podcast tukiwa tunaangazia zaidi juu ya haki zako msingi unapokwenda kupata huduma za Afya katika kituo cha Afya au kupitia watoa huduma katika Jamii. Ungana nami Dr. Juliet Sebba, MD.
-
SIKU YA AFYA DUNIANI | AFYA YANGU, HAKI YANGU
Siku ya Afya Duniani tarehe 7 April 2024 ina kauli mbiu ya "Afya yangu, Haki Yangu". Mada ya mwaka huu ilichaguliwa ili kuwa bingwa wa haki kwa kila mtu kila mahali katika kupata huduma bora za afya, maji safi ya kunywa, hewa safi, lishe bora, makazi bora na mazingira bora. Karibu ujumuike nami daktari wako - Doctor Rafiki
Kwa maulizo: Wasiliana nasi
Email: dr.rafikiafrica@gmail.com -
Doctor Rafiki
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.