15 min

JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi Kizazi Kipya Podcast

    • Mental Health

Hauitaji kujua kila kinacho endelea ili kuwa na amani ya kufanya maamuzi. Hauto weza kujua story nzima kuhusu mazingira yanayo kuzunguka au mtu, hata kama akikwambia mwenyewe. Fanya kwa uwezo wako kwa kuamini kile ulicho sikia au kuona kuwa siyo story nzima. Amini kuwa unacho fanya ni sahihi, na fanya unavyo jisikia ndani kwa upendo. Kwa mengi zaidi sikiliza episode hii ambapo nimefafanua zaidi. Pia tembelea instagram account; @kizazikipyapodcast website; kizazikipya.online 