11 episodes

Podcast by Kenedy The remedy

Kenedy The Remedy Podcast Kenedy The remedy

  • Society & Culture
  • 4.3 • 11 Ratings

Podcast by Kenedy The remedy

  EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi

  EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi

  EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi by Kenedy The remedy

  • 6 min
  EP 10: Kirusi cha Corona na Ujinga Wake

  EP 10: Kirusi cha Corona na Ujinga Wake

  EP 10: Kirusi cha Corona na Ujinga Wake by Kenedy The remedy

  • 19 min
  EP 09: Wanafunzi wa Shule za Afrika Wanaelewa nini Kuhusiana na Ujasiriamali?

  EP 09: Wanafunzi wa Shule za Afrika Wanaelewa nini Kuhusiana na Ujasiriamali?

  Je dhana ya Ujasiriamali inaeleweka kwa wanafunzi???
  Je wanafunzi wanakuwa na mtazamo gani? Kenedy alipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa shule katika kufahamu maana ya ujasiriamali. Podcast Hii The Remedy alifanya mahojiano mafupi kufahamu hawa wanafunzi wa shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiriamali. Je wewe ni Mjasiria Mali? Wanafunzi wa Shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiria mali?

  • 6 min
  EP 08: Artist's Life

  EP 08: Artist's Life

  EP 08: Artist's Life by Kenedy The remedy

  • 34 min
  EP 07: Jela Yako ni Ipi??

  EP 07: Jela Yako ni Ipi??

  Watu wengi wanafikiri wapo huru, lakini kiukweli kuna mambo ambayo yanatushikilia na haya ndio yanatufunga kifungo ambacho hatufahamu. Umewahi kujiuliza Jela yako ni nini? Tulia hapohapo na sikiliza hii!!!! Usisahau ku-subscribe channel hii kupata mastory mazuri ya vijana na jamii.

  • 4 min
  EP 06: Tujifunze Hesabu Zipo Kwenye Maisha Yetu (Victor George - Bingwa Mtetezi)

  EP 06: Tujifunze Hesabu Zipo Kwenye Maisha Yetu (Victor George - Bingwa Mtetezi)

  Hii ni Episode ya kwanza kutoka kwa mwaka 2020, ambapo Kenedy The Remedy Podcast amefanya mazungumzo machache na Victor George katika kuleta elimu ya maisha na kugusa elimu na maisha yetu kwa Ujumla.

  Endelea kuifurahia Podcast hii, ikiwa ni mojawapo kati ya Podcast mpya za Kiswahili zinazoshika nafasi kubwa sana kwenye Podcasts. Usisahau Ku-subscribe channel hii ili kupata Eposide nyingi kuhusu vijana na maisha.

  Asante sana!!!

  • 12 min

Customer Reviews

4.3 out of 5
11 Ratings

11 Ratings

Top Podcasts In Society & Culture

Listeners Also Subscribed To