60 episodes

Podkasti inayoangazia yanayotokea katika muziki wa bongo fleva kila siku ya Jumanne.

Kijiwe Nongwa‪.‬ Kijiwe Nongwa

    • Music
    • 5.0 • 1 Rating

Podkasti inayoangazia yanayotokea katika muziki wa bongo fleva kila siku ya Jumanne.

    KIJIWENONGWA EP 68: NYIMBO MPYA | JAY MELODY THERAPY REVIEW | MOCASSIN YA JAYMOE.

    KIJIWENONGWA EP 68: NYIMBO MPYA | JAY MELODY THERAPY REVIEW | MOCASSIN YA JAYMOE.

    Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.

    • 1 hr 14 min
    KIJIWE NONGWA EP 67: NYIMBO MPYA | HAKUNA MATATA | DULLAH CROWN FM

    KIJIWE NONGWA EP 67: NYIMBO MPYA | HAKUNA MATATA | DULLAH CROWN FM

    Karibu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.

    • 1 hr 12 min
    KIJIWE NONGWA EP 66: TMA | BONGO RECORDS & BOOM PLAY| TID | UTAMADUNI.

    KIJIWE NONGWA EP 66: TMA | BONGO RECORDS & BOOM PLAY| TID | UTAMADUNI.

    Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki.
    Tusikilize.

    • 1 hr 22 min
    KIJIWENONGWA EP 65: NYIMBO MPYA | CROWN FM | HIPHOP IMEKUFA.

    KIJIWENONGWA EP 65: NYIMBO MPYA | CROWN FM | HIPHOP IMEKUFA.

    Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?

    • 1 hr 8 min
    KIJIWENONGWA EP 64: NYIMBO MPYA | ZUCHU | MAVIN X UMG | MAUA NA ALIKIBA.

    KIJIWENONGWA EP 64: NYIMBO MPYA | ZUCHU | MAVIN X UMG | MAUA NA ALIKIBA.

    Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?

    • 1 hr 37 min
    KIJIWENONGWA EP 63: NYIMBO MPYA | DAH & MAPOZ | BONGO FLEVA

    KIJIWENONGWA EP 63: NYIMBO MPYA | DAH & MAPOZ | BONGO FLEVA

    Dah ya Nandy na Mapoz ya Simba zinafanya vizuri, huu ni mwelekeo mzuri kuirudia bongo Fleva?

    • 37 min

Customer Reviews

5.0 out of 5
1 Rating

1 Rating

Top Podcasts In Music

Dj Shinski New Mixes
Dj Shinski
DJ MISS M Podcasts
DJ MISS M
Mash-Ups Rap FR
Eli92iXV2
100 Best Albums Radio
Apple Music
DJ Selex
DJ Selex
DJ SISSE MIXES
DJ SISSE