4 episodes

#MitandaoNaSisi ni kampeni ya kuchagiza matumizi chanya ya mitandao ya jamii na majukwaa ya kidijitali. Tunahamasisha matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya kidijitali pamoja na uhamasishaji kwa umma kuhusu uraia wa kidijitali. Tamthiliya fupi ya #CocoNaDenge inalenga kutoa elimu ya #MitandaoSalama na Uraia wa Kidijitali kama namna pia ya kuongeza ushiriki wa wanawake mtandaoni.

#MitandaoNaSisi Limited Series #MitandaoNaSisi

  • Society & Culture
  • 3.5 • 2 Ratings

#MitandaoNaSisi ni kampeni ya kuchagiza matumizi chanya ya mitandao ya jamii na majukwaa ya kidijitali. Tunahamasisha matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya kidijitali pamoja na uhamasishaji kwa umma kuhusu uraia wa kidijitali. Tamthiliya fupi ya #CocoNaDenge inalenga kutoa elimu ya #MitandaoSalama na Uraia wa Kidijitali kama namna pia ya kuongeza ushiriki wa wanawake mtandaoni.

  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 04

  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 04

  #MitandaoNaSisi Limited Series  Tumeona madhara mengi sana yatokanayo na majukwaa ya kidijitali lakini tusiwe vipofu na kushindwa kuona fursa zinazoambatana nazo pia.  Imekua rahisi sana kufikia watu wengi kwa wakati mmoja katika kutangaza biashara kupitia majukwaa ya kidijitali, bila kusahau gigs na kazi ndogo ndogo zisizohitaji elimu kubwa bali   Katika kuongeza ushiriki wa wanawake mitandao ndiyo  kumuinua binti wa sasa tunamuhimiza kuchangamkia fursa hizi kujiendeleza.  We have seen many of the negative impacts of digital platforms but we should not be blind and fail to see the opportunities that come with it.  It has become much easier to market and reach more people simultaneously in advertising business through digital platforms, not to mention gigs and small jobs that does not require  higher education.  In increasing women's participation in digital platforms, we encourage them to take advantage of these opportunities to develop themselves.


  ---

  Send in a voice message: https://anchor.fm/coco-denge/message

  • 9 min
  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 03

  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 03

  #CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Kuhukumiwa na kunyooshewa vidole na jamii imekuwa kikwazo kikubwa kwa wahanga  wa vitisho vya kuvujishwa kwa picha zao zenye maudhui ya kiponografia au za utupu.  Women At Web kupitia LP digital inawasisitiza wahanga wote kuripoti kesi hizi ili sheria iweze kuwawajibisha wanao vujisha picha hizi. Itasaidia pia kuwa na takwimu sahihi zitakazo saidia kuelimisha jamii kuhusu aina hii ya unyanyasaji wa kijinsia mitandaoni vile vile kujua njia mbadala ya kupambana na tatizo hili.   #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode THREE- Digital Citizenship   #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeOnlineSpaces #DigitalInclusion


  ---

  Send in a voice message: https://anchor.fm/coco-denge/message

  • 12 min
  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 02

  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 02

  #CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Tofauti na kuweka nywila salama kwenye vifaa vyetu vya kielectronic lakini Majukwaa ya Kidijitali yanaonekana kutokuwa salama kwa Asilimia mia. Hiyo ndo sababu Series ya Coco Na Denge inakuelimisha na kusisitiza juu ya matumizi salama ya Mitandao.  Dhumuni hili limekuja baada ya kugundua kesi nyingi za kimtandao zinatokea bila kudhibitiwa.   Dhumuni la episode hii ni kuelimisha juu madhara ya kuchapisha na kusambaza picha zenye maudhui ya kiponographia kutumia majukwaa ya kidijitali.  Despite using safe passwords on our electronic devices but Digital Platforms appears to be 100% insecure. That is why the Coco and Denge Series educate you and emphasizes the safe use of the Internet.  This purpose has come about after discovering that many cybercrime cases occur uncontrollably.  This episode aims to educate about the consequences of publishing and sharing images with pornography content using digital platforms.      #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode TWO - Digital Citizenship  

   #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeSpacesTz 

  Credits: Casts: Coco - Jacqueline Shuma Denge

   - Roland Malaba Chale 

  - Sadam Sanare  Project Lead 

  - Carol Ndosi Project Coordinator

   - Warda H. Mansour & Angella T.R Karashani Director 

  - Calvin Kulaya Assistant Director 

  - Zach Fredrick Graphics Designer 

  - Halifa Halifa Content creator 

  - Carol Ndosi Content creator 2 

  - Warda H. Mansour


  ---

  Send in a voice message: https://anchor.fm/coco-denge/message

  • 9 min
  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 01

  Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 01

  Episode ONE  Uraia Wa Kidijitali. Je una ufahamu kuhusu uraia wa kidijitali na nafasi yako katika kuhakikisha kunakua na #MitandaoSalama Na matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii?  Tumeona watu wakijificha kwenye kivuli cha matani na uhuru wa kujieleza lakini #CocoNaDenge limited series inatuonyesha wajibu na haki za raia wa kidijitali.  Karibu tujifunze pamoja.   #MitandaoNaSisi #MitandaoNaMimi #SafeOnlineSpaces #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode ONE - Digital Citizenship.   Are you aware of digital citizenship and your role in ensuring safe use of social networks? We have seen people hide in the shadow of jokes and freedom of expression but the #CocoNaDenge limited series shows us the responsibilities and rights of digital citizens. Welcome. Let us learn together.   #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeSpacesTz 

  Credits: Casts: Coco - Jacqueline Shuma Denge: Roland Malaba  Project Lead - Carol Ndosi Project Coordinator - Warda H. Mansour & Angella T.R Karashani Director - Calvin Kulaya Assistant Director - Zach Fredrick Graphics Designer - Halifa Halifa Content creator - Carol Ndosi Content creator 2 - Warda H. Mansour


  ---

  Send in a voice message: https://anchor.fm/coco-denge/message

  • 3 min

Customer Reviews

3.5 out of 5
2 Ratings

2 Ratings