78 episodes

Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo

Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!

Amani Longishu Podcast Amani Longishu

    • Business
    • 4.8 • 21 Ratings

Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo

Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!

    #78: Jinsi Ya Kukuza Biashara Yako INSTAGRAM

    #78: Jinsi Ya Kukuza Biashara Yako INSTAGRAM

    Video hii inakupa mbinu 6 za Jinsi ya Kukuza Biashara Instagram. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya!

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa
    https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    Instagram;
    https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;
    https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Facebook;
    https://www.facebook.com/amanilongishu

    Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara Instagram,

    • 13 min
    #77: Mbinu 6 Za Kukuza Biashara Facebook

    #77: Mbinu 6 Za Kukuza Biashara Facebook

    Episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara facebook. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza facebook na kufikia wateja wapya!

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa
    https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    Instagram;
    https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;
    https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Facebook;
    https://www.facebook.com/amanilongishu

    Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara facebook,

    • 11 min
    #76: Jinsi Ya Kukuza Biashara TIKTOK

    #76: Jinsi Ya Kukuza Biashara TIKTOK

    Episode hii inakupa mbinu za Jinsi Ya Kukuza Biashara Tiktok. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji tiktok na kufikia wateja wapya!

    Jiunge kozi ya Kupata Wateja Wengi hapa
    https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    Instagram;
    https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;
    https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Facebook;
    https://www.facebook.com/amanilongishu

    Jinsi ya Kukuza Akaunti Tiktok 2024

    Jinsi ya Kukuza Biashara Yako Tiktok,

    Jinsi Ya Kupata Followers Wengi Tiktok

    Jinsi Ya Kupata Wateja Tiktok,

    Jinsi ya Kwenda Live Tiktok,

    • 9 min
    #75: Mbinu 9 Za KUKUZA Biashara Yako Mtandaoni

    #75: Mbinu 9 Za KUKUZA Biashara Yako Mtandaoni

    Ndani ya episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara yako mtandaoni. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji mtandaoni na kufikia wateja wapya!

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa
    https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    Instagram;
    https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;
    https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Facebook;
    https://www.facebook.com/amanilongishu

    • 10 min
    #74: Mbinu 9 Za Kukuza Biashara Online & Offline 2024

    #74: Mbinu 9 Za Kukuza Biashara Online & Offline 2024

    Kwenye Episode hii iitakupa mbinu za Jinsi ya Kukuza Biashara Online na Offline. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya!

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa
    https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    Instagram;
    https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;
    https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Facebook;
    https://www.facebook.com/amanilongishu

    Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara Instagram,

    • 16 min
    #73: Mambo Ya Kufanya ili UIBE Wateja Wa Mshindani Wako

    #73: Mambo Ya Kufanya ili UIBE Wateja Wa Mshindani Wako

    Mambo ya kufanya ili UIBE WATEJA wa Mshindani wako!

    Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu

    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 73

    • 4 min

Customer Reviews

4.8 out of 5
21 Ratings

21 Ratings

Picklolla ,

Best Instagrwm coach in Tanzania

Coach amani asante sanaa🥳🤩🤩kila nikisikiliza podalcast yako napata kitu kipyaa!!

Didytrends ,

Unanisaidia sanaaa amani

Nilipost new arrivals baada ya kusikilizs episode ya 40 nikapata wateja!!!✨✨👌🏾👌🏾

ms.mansour_ ,

Nisahbiz

Nakusikiliza kwa makini sana Coach 👏🏾👏🏾. Ahsante kwa Nondo

Top Podcasts In Business

The Diary Of A CEO with Steven Bartlett
DOAC
TIMIZA MALENGO YAKO
Joel Arthur Nanauka
VT Podcast “Ideas That Matter”
Africa Podcast Network
Unhedged
Financial Times & Pushkin Industries
Per My Last Email
Sara Wachter-Boettcher, Jen Dionisio, Emily Duncan
Meine YouTube Story - Der Creator Podcast
Sina Stieding, Georg Nolte, Michalina Seekamp, Christian Lutterbeck