290 episodes

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.

Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

Radio Maria Tanzania Radio Maria Tanzania

    • Religion & Spirituality
    • 4.5 • 2 Ratings

    URAIBU

    URAIBU

    Karibu katika uungane na Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha, kutoka Jimbo Katoliki Moshi, leo anatuongoza katika mada ya Uraibu wa madawa, akijikita zaidi katika madhara ya matumizi haramu ya madawa ya kulevya kwa vijana katika jamii.

    Roho Mtakatifu na Kanisa

    Roho Mtakatifu na Kanisa

     ungana na Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha,  katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo leo tunajifunza Roho Mtakatifu ni Msaidizi wa Baba Mtakatifu.

    Utume wa Walei

    Utume wa Walei

     ungana na Bi Rose Gerald Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu la Dares saalam, katika kipindi cha Utume wa walei ambacho hukujuia Mubashara kila siku ya Ijumaa saa nane mchana na kurudiwa siku ya Alhamisi saa nne kamili usiku, mada ni Roho mtakatifu ni Upendo Tumtumikie Mungu kwa Upendo.

    Maswali ya Imani

    Maswali ya Imani

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Maurus Msigwa, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema Mwanadamu hufa, je kifo ni adhabu?na je mbona mtu akitambua makosa yake akaona anastahili kufa, kwanini huwa hafi? 

    Ijue sheria

    Ijue sheria

    Ungana na  Mtangazaji Elizabeth Masanja  katika kipindi cha Ijue Sheria mada inayo zungumziwa ni juu ya Suala dhima la dhamana, Mwezeshaji ni Mh Rehema Mayagilo Hakimu  Mkazi wa Mahakama Kuu kanda ya Iringa.

    • 49 min
    NENA NAMI BWANA

    NENA NAMI BWANA

    Karibu katika kipindi cha Nena nami Bwana ambapo anayenena nasi ni Mhashamu Ludovick Joseph Minde ALCP/OSS, Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi.

    • 57 min

Customer Reviews

4.5 out of 5
2 Ratings

2 Ratings

Top Podcasts In Religion & Spirituality

Pastor Tony Kapola
Pastor Tony Kapola
Joel Osteen Podcast
Joel Osteen, SiriusXM
SIRI ZA BIBLIA
SIRI ZA BIBLIA
Omar Suleiman
Muslim Central
Mufti Menk
Muslim Central
Koinonia Experience With Apostle Joshua Selman (ENI)
Abraham Abiodun Ayinde