22 episodes

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Siha Njema RFI Kiswahili

    • Health & Fitness

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

    Uhitaji wa huduma za dharura za afya washika kasi ukanda wa Afrika

    Shirika la AMREF Flying doctors linaonya kuwa mlipuko wa magonjwa yasiyoambukizwa yanazidi kuongeza uhitaji huku wigo la kupanua biashara likitanuka pia

    • 9 min
    Wanawake waongoza juhudi za kampeni za Afya bora ,DRC ikizidisha mapambano ya Kipindu Pindu

    Wawawake kutoka ukanda wa Afrika wanajumuika Dar  Es Salaam  mwishoni mwa juma kupiga jeki kampeni za kuboresha afya

    • 9 min
    Mataifa ya Afrika yanayoendelea bado yanachangia mzigo mkubwa wa TB

    Usalama mdogo nchini Sudan Kusini umesababisha wagonjwa wengi kuchelewa kubainishwa TB na kupata matibabu ya mapema

    • 10 min
    Mageuzi yanayoletwa na nishati bunifu kisiwa cha Ndeda magharibi mwa Kenya

    Wanawake mbele kuinua sekta ya sayansi na utafiti nchini Kenya

    Idadi ya wanawake wanaongoza katika sekta mbali mbali bado ni ndogo barani Afrika.

    • 10 min
    Jamii ya Kibera jijini Nairobi inavyopambana na mimba za utotoni

    Mimba za utotoni ni kizingiti kikubwa kinachoathiri elimu ya wasichana barani Afrika

    • 10 min

Top Podcasts In @@categoryName@@

Archives d'Afrique
RFI
No Title
RFI Kiswahili
Marchés du monde
RFI
No Title
RFI ខេមរភាសា / Khmer
No Title
RFI Tiếng Việt
No Title
RFI Brasil