11 min

Waridi 01: Saratani ya Matiti Afya Talk

    • Medicine

Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.