9 episodes

“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms.

We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging from struggles to triumphs, narratives that inspire, educate, and uplift others.

Washkaji Podcast Stori na Washkaji!

    • Business

“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms.

We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging from struggles to triumphs, narratives that inspire, educate, and uplift others.

    EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna Mohammed

    EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna Mohammed

    Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya ora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga.

    Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina

    #AfyaYaAkili #Akili #Afya #MentalHealth #Relationships #Health #Wanaume

    • 49 min
    Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI App

    Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI App

    Stori na Mshkaji ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI Appinayorahisisha kazi na kuboresha huduma za Migahawa na Chakula toka kiganjani mwako.#digitalwaiter #TayariApp #washkajipodcast #washkajitunaongea #Stori #StorinaWashkaji #MvumbaMo #swahilitiktok

    • 45 min
    Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako.

    Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako.

    #WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!.
    #WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast 

    • 40 min
    UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO)

    UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO)

    Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?

    • 49 sec
    UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI

    UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI

    Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani?
    Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani,
    Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.
     
    • 15 min
    SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR

    SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR

    SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR
    Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 
    Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.

    • 4 min

Top Podcasts In Business

TIMIZA MALENGO YAKO
Joel Arthur Nanauka
The Diary Of A CEO with Steven Bartlett
DOAC
VT Podcast “Ideas That Matter”
Africa Podcast Network
Per My Last Email
Sara Wachter-Boettcher, Jen Dionisio, Emily Duncan
Masters of Scale
WaitWhat
Instagram Downloader 2X
instagram Downloader 2X