26 episodes

Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.

Yesaya Software Podcast Yesaya R. Athuman

  • How To
  • 4.9 • 8 Ratings

Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.

  Simeon amechambua mambo mapya ndani PHP 8

  Simeon amechambua mambo mapya ndani PHP 8

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Simeon Mugisha Rwegayura mütalaam maridadi na mzoefu huyu kwenye mambo ya programming. Kama unavyofahamu November 26, 2020 toleo jipya ya PHP litatoka na hapa ninamaanisha PHP 8. Nilizungumza na Simeon kutusu nini tunatarajia katika toleo hili, linakuja na mambo gani mambo.

  • 28 min
  Nimeongea na Mke wangu kuhusu Maisha ya Mahusiano kwa Programmers

  Nimeongea na Mke wangu kuhusu Maisha ya Mahusiano kwa Programmers

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Dorah P. Ndazi ana title mbalimbali muhimu kabisa lakini kubwa kabisa ni mke wangu dada huyu na nilipenda kupata mawazo yake kuhusu kuishi na Programmer, changamoto anazopitia na ushauri wake. Niligusigusia tuu kuhusu kulea watoto, kusheherekea mambo mbalimbali kama birthday na vile uko na code inasumbua lakini unafanyaje kutoa muda kuwa na familia.

  • 23 min
  Maandalizi ya Devfest November 07 -08, 2020 na Faida ya Kushiriki Event hii ya Developers

  Maandalizi ya Devfest November 07 -08, 2020 na Faida ya Kushiriki Event hii ya Developers

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na waandaji na washiriki wa Sherehe ya Developers hapa Tanzania yaani Devfest. Devfest ni sherehe za kila mwaka kwa developers, tumekuwa tukienda pale Buni pamoja na yote kuhusu TEHAMA tumekuwa tukila na kujumuika kwa pamoja. Sasa sherehe hizi zimenasimamiwa na community ya Google Developers Group (GDG), kupata update kutoka kwao wafuate pale Twitter @GDGDarEsSalaam.

  Note: David ana kiswahili cha mashaka, amezungumza kiingereza.

  • 31 min
  Nimefanya Uchambuzi wa Episode Tisa (9) Zilizopita

  Nimefanya Uchambuzi wa Episode Tisa (9) Zilizopita

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na … anyways leo mwenyewe na sina mgeni hapa nimeona ni vyema kukafanya mapitio ya matoleo tisa (9) yaliyopita na episode ya 10 imekuwa ni ya kipee kabisa kama milestone muhimu ya kujitafakari na kupata feedback kutoka kwako

  • 20 min
  Anthony ametupa chachu na hamasa kwenye Data Science, Machine Learning and AI kwa nchi zinazoendelea

  Anthony ametupa chachu na hamasa kwenye Data Science, Machine Learning and AI kwa nchi zinazoendelea

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Anthony Faustine, yeye ni ni Data Scientist na Mtafiti kwenye masuala Machine Learning. Anafanya kazi kwenye kampuni mojawapo huko Ireland akaimplement Data Analytics na Artificial Intelligence Solutions kwenye maeneo mbalimbali. Pia Anthony amejikita kwenye kutumia machine learning, deep learning, data science, na signal processing kutengeneza computational models, methods, and tools ili kusaidia watunga sera kubuni suluhisho na sera bora zaidi kwa maendeleo endelevu.

  • 33 min
  Mohamed ametueleza alifikaje Google na namna Maisha yalivyo huko

  Mohamed ametueleza alifikaje Google na namna Maisha yalivyo huko

  Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Mohamed Mnete, yeye ni Software Engineer kule Google. Nilifanya mahojiano naye akiwa huko Texas Marekani.

  Tunasikia mengi lakini kwa kuwa yupo ndugu yetu huko Google nilipenda yafahamu maisha ya huko Google yakoje, wanafanyaje kazi na kubwa kabisa huyu Mtanzania aliweza pata fursa hii adhimu kabisa.

  Pia nikagusiagusia kama upo uwezekano wengine kujiunga huko kama kuna links and website za kutumia kufanya maombi.

  • 30 min

Customer Reviews

4.9 out of 5
8 Ratings

8 Ratings

deoJava ,

Good content

Bro unafanya vitu vizur una ni insipire sana natamani siku moja nionane na ww

justinelimtz ,

Inspired

Keep om showing the way bro

brunoalfred ,

So inspirational.

This work has shown me a lots of possibilities in what I have been seeing impossible, Thanks !

Top Podcasts In How To