![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
12 min

EP 06: Tujifunze Hesabu Zipo Kwenye Maisha Yetu (Victor George - Bingwa Mtetezi) Kenedy The Remedy Podcast
-
- Society & Culture
Hii ni Episode ya kwanza kutoka kwa mwaka 2020, ambapo Kenedy The Remedy Podcast amefanya mazungumzo machache na Victor George katika kuleta elimu ya maisha na kugusa elimu na maisha yetu kwa Ujumla.
Endelea kuifurahia Podcast hii, ikiwa ni mojawapo kati ya Podcast mpya za Kiswahili zinazoshika nafasi kubwa sana kwenye Podcasts. Usisahau Ku-subscribe channel hii ili kupata Eposide nyingi kuhusu vijana na maisha.
Asante sana!!!