Dunduliza
Podcasts Channel
1 SHOW • UPDATED WEEKLY
Je, ungependa kukuza, kutunza and kuelewa fedha zako zaidi? Basi umefika sehemu muafaka/stahili. Dunduliza inakupa muongozo kupitia dondoo mbali mbali za kuongeza maarifa yako ya pesa kila wiki. Kipindi chetu kinapatikana pia East Africa radio kila jumatatu asubuhi. Haba na haba hujaza kibaba... kupitia Dunduliza, tunakupa elimu na ushauri kulingana na malengo na mahitaji yako kwa kutumia mifano ya kila siku ili kukusaidia ufanikiwe. Karibu!
Requires macOS 11.4 or higher