Kwenye episode hii tunapreview Double Gameweek 26 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers. Ni muda kidogo toka last time tumepod and sasa tumerudi and hopefully you will all enjoy listening/watching the pod. Karibuni.
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
WhatsApp Group Invite
https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T
Jiunge FPL Tanzania League
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78
#fpltz #FPLTZPodcast
Information
- Show
- FrequencyUpdated Weekly
- PublishedFebruary 24, 2022 at 5:58 AM UTC
- Length36 min
- Season1
- Episode15
- RatingClean