5 episodes

Wengi wanaijua jamii lakini hawajui kuisemea jamii...
Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii....
Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa...
FIKRA TUNDUIZI PODCAST PATA MADINI ADHIMU YA KUJENGA JAMII ITAKAYOKUWA BORA.

FIKRA TUNDUIZI VENANCE JOHN

  • News

  Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni

  Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni

  Sheria za Tanzania ni madhubuti kiasi gani kudhibiti unyanyasaji mtandaoni

  ---

  Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fikratunduizi/message

  • 4 min
  Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino Ndugai

  Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino Ndugai

  Baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuandika barua ya kujiuzulu mengi yamesemwa, wengine wakipongeza kwamba huo ni ukomavu wa kisiasa, wengine wakisema ni sahihi kwa kuwa ni uwajibikaji kwa kiongozi huku wangine wakisema utaratibu haujafuatwa kwani ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama badala ya barua ya kujiuzulu kuelekezwa kwa bunge.

  Bw Edwin Soko ni Mchambuzi, Mtalaam wa utawala na Mjuzi wa sheria yeye anayo maoni gani ?

  ---

  Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fikratunduizi/message

  • 24 min
  Mgombea huru nchini Tanzania

  Mgombea huru nchini Tanzania

  Nchi nyingi barani Afrika katika katiba zao zimeruhusu mgombea huru ambae halazimiki kudhaminiwa na chama chochote ili kuwa mgombea. Nchi kama Uganda, Namimibia, Tunisia na nyinezo zinakipengele hicho katika Katiba, je kwanini tanzania haiko tayari licha ya baadhi ya watu kuhitaji uwepo wa ngombea huru?

  ---

  Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fikratunduizi/message

  • 10 min
  Mapinduzi nchini Mali

  Mapinduzi nchini Mali

  Nini cha kujifunza baada ya mapinduzi nchini Mali. Kwanini mapinduzi mengi yameshamiri Afrika ?

  ---

  Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fikratunduizi/message

  • 49 min
  WANAWAKE KATIKA SIASA NA UONGOZI

  WANAWAKE KATIKA SIASA NA UONGOZI

  Chama cha wanahabari wanawake Tanzania (TAMWA) kimeoa magunzo kwa waandishi wa habari wa redio za kijamii 50 kutoka mikoa 17 ya Tanzania kwa ajili ya kuwaongezea ujuzi wanahabari jinsi gani vyombo vya habari vinaweza kuonesha ukubwa wa tatizo wakati wa kutoa taarifa za wanawake ili kuionesha jamii na serikali ukubwa wa tatizo na madhara ya kutokuwa na wanawake katika siasa na uongozi. #WanawakeWanawezaWapeFursa

  ---

  Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fikratunduizi/message

  • 4 min

Top Podcasts In News

The New York Times
NPR
The Daily Wire
Becker's Healthcare
NHPR
The Daily Wire