57 episodes

An amplified voice for the voiceless

99.9 GHETTO FM GHETTO FM

  • Business

An amplified voice for the voiceless

  SHEREHE YA KILIO KWA AKINA MAMA

  SHEREHE YA KILIO KWA AKINA MAMA

  Licha ya taifa kusherekea siku kuu ya akina mama duniani  wengi wao wanaendelea kupaza sauti za kutafuta haki zao.

  • 7 min
  WANAWAKE TUONDOE DHANA KUWA MWANAMKE NI ADUI WA MWANAMKE MWENZAKE NA TUUNGANE MIKONO KATIKA UONGOZI.

  WANAWAKE TUONDOE DHANA KUWA MWANAMKE NI ADUI WA MWANAMKE MWENZAKE NA TUUNGANE MIKONO KATIKA UONGOZI.

  Swala la mwanamke ni adui wa mwanamke mwenzie limekuwa likijadiliwa vijijini na wengi wanadokeza kuwa wanawake wengi hawana uroho wa kuungana mikono katika uongozi aidha wengi wanapuuzilia mbali dhana hii na kutoa kauli ya kuungana mikono kama wanawake.Kwenye makala haya nimeangazia maoni tofauti ya uongozi wa wanawake.

  • 22 min
  FOLLOW THE MONEY LAUNCH PHASE 2

  FOLLOW THE MONEY LAUNCH PHASE 2

  Follow the money project in kenya headed by Head of projects SIDAREC CENTER Eve Mathai   has done  so much on identifying and following the covid 19 funds that were released  by the govt, this was during the first phase. This time CTAP  headed by  Executive Director  Hamzat Lawal has launched the second phase of follow the money, this time with the aim of doing research on the issue of covid 19 vaccination and the whole state of Health in Kenya and in Africa at  large. 

  • 10 min
  CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WANAOHUDUMU MAKANISANI

  CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WANAOHUDUMU MAKANISANI

  Wanawake wanapitia changamoto sii haba wanapoendelea kueneza huduma wao makanisani.

  • 6 min
  CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WA KIKE KATIKA HUDUMA KANISANI.

  CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WA KIKE KATIKA HUDUMA KANISANI.

  Wanawake wanaendelea kupitia changamoto nyingi wanapoendelea kueneza neno la Mungu makanisani.

  • 6 min
  WORLD RADIO DAY [CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAHABARI WA KIKE ]

  WORLD RADIO DAY [CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAHABARI WA KIKE ]

  Hii leo Kenya imejumuika na mataifa mengine kusherekea siku kuu ya Radio nchini. Mada kuu ikiwa  uwaminifu kwa wanahabari wa  stasheni za kijamii,aidha taifa linaposherekea siku hii wanahabari wanaendelea kupitia changamoto sii haba.Karibu tuzijadili pamoja na tutafute suluhisho pamoja.

  • 10 min

Top Podcasts In Business

Ramsey Network
NPR
Guy Raz | Wondery
Andy Frisella #100to0
Jocko DEFCOR Network
Wondery