48 min

Mbinu 7 za kumaliza changamoto yako Bila kutumia dawa Bali kutumia formula ya lishe na mazoezi IJUE AFYA YAKO

    • Nutrition

Upungufu wa Nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi sana.

Tafiti zinaonesha kuwa Kati ya wanaume 10 basi wanaume 7 wanasumbuliwa na upungufu wa nguvu za kiume.

Kuna makosa mengi sana wanaume wanafanya pale wanapojigundua wana upungufu wa nguvu za kiume, wengi wanakimbilia kubugia Madawa pasipo Kujua chanzo cha tatizo.

Pia ili kuwa vizuri kwenye tendo la ndoa ni lazima kuweza kujifunza namna ya kujenga mwenza wako kisaikolojia kabla na baada ya tendo la ndoa ili kuendelea kukumbuka kila wakati.

Karibu Sana usikilize kila siries.