14 min

Tuwe Radhi Kuumizaana The Uongozi Wa Kiroho Podcast

    • Christianity

Kila Kiongozi wa Kiroho anahitaji watu wa namna mbili katika maisha yake. Anahitaji maadui wanaosema ukweli na anahitaji marafiki waaminifu wasemao ukweli. Na yeye kama kiongozi anapaswa kuwa tayari kusema ukweli na watu wengine hata ingawa maneno yake yatawaumiza. Ndiyo maana ya podcast hii, kwamba tuwe tayari kuumizaana kwa kusema maneno ya ukweli na kufanya kwa upendo.