Kibo Utalii Talk About Show
-
- Arte
Mazungumzo ya moja kwa moja na watu waliofanikiwa katika ushawishi kwenye mitandao ya kijamii na katika Sekta ya Utalii,lengo ni kushare safari zao na wewe uweze kupata nguvu ya kupambania ndoto zako
-
INTRO (Kibo Utalii)
Karibu ujifunze vitu vingi kuhusiana na masuala ya Utalii,na ushawishi kwenye mitandao ya kijamii.