Pastor Ulenje EM Pastor Ulenje EM
-
- Religion & Spirituality
Karibu tujinze zaidi kuhusu imani na neema, hakika utamuona Mungu kupitia podcast hii na imani yako italeta matokeo makubwa.
-
Mawazo ya Moyo Yanavyoweza Kujenga Imani Moyoni
Karibu Ujifunze zaidi kuhusu imani. Imani ni somo muhimu ni core, sikiliza podcast hii utabarikiwa hakika, na utasikia kushare na wengine. By. Pastor Ulenje 0683 477827