Busta Ya Leo MCSHONDE
-
- Society & Culture
In this Swahili podcast, we discuss social and spiritual issues adhering to personal testimonies of the invited guests.
-
Wanawake kubadili maumbo yao- sababu ni wanaume
Je, unakubaliana na dada Zawadi?
-
Sitoi figo yangu-busta ya leo na Ms. Zawadi
Je, unaweza kumtolea mwenza, rafiki au ndugu kiungo muhimu kama figo?
-
Niliyemsaidia alivyonigeuka
Kamwe usimsahau yule aliyekuwa karibu yako pale ulipohitaji uwepo wake. Usimsahau yule aliyekushika mkono na kukutambulisha kwa fulani aliyekupa msaada. Never! Never forget that person.
-
Kuishi ndani ya ulimwengu wa mitandao ya kijamii
Je niishi kama mtu fulani maarufu anavyoishi? Na je anayotuonyesha mtandaoni ni uhalisia au vipi? Ni vyema sana watu wa Mungu wakafahamu uhalisia wa namna mitandao ya kijamii inaweza kukufaidisha na vilevile kukupoteza.