KERO LA MAAFISA WA TRAFIKI MATUKIO MASHINANI
-
- Daily News
BY ODERA WYCLIFFE
Wanachama wa muungano wa kutetea haki za kijamii eneo la Nyanza wameibua malalamishi kuhusiana na idadi kubwa ya vizuizi vya maafisa wa trafiki katika barabara tofauti eneo la Nyanza
Ni mtindo uliokithiri unaodaiwa kutumiwa na maafisa husika kukusanya tuu hongo kutoka kwa wananchi na wahudumu wa sekta ya uchukuzi , huku kukiwa na hofu kuwa imechangia kuzidi kwa gharama ya uchukuzi maeneo ya Nyanza
Wanaharakati hao wamewasilisha waraka , kwa inspekta jenerali wa polisi wakimtaka achukue hatua na kupunguza vizuizi hivyo, vya barabarani, ili kupunguza hata gharama ya uchukuzi eneo hili
Mwisho
Na Odera A Wycliffe
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/wycliffe-aluodo-odera/message

2 min