3 episodes

This platform is created to give more Voice to the Voiceless members of the community on Human interest stories, features and happening across the Lake Region In Kenya
it is managed by ODERA A WYCLIFFE

MATUKIO MASHINANI wycliffe Aluodo Odera

    • News

This platform is created to give more Voice to the Voiceless members of the community on Human interest stories, features and happening across the Lake Region In Kenya
it is managed by ODERA A WYCLIFFE

    KERO LA MAAFISA WA TRAFIKI

    KERO LA MAAFISA WA TRAFIKI

    BY ODERA WYCLIFFE 

    Wanachama wa muungano wa kutetea haki za kijamii eneo la Nyanza wameibua malalamishi kuhusiana na idadi kubwa ya vizuizi vya maafisa wa trafiki katika  barabara tofauti eneo la Nyanza

    Ni mtindo uliokithiri  unaodaiwa kutumiwa na maafisa husika kukusanya tuu hongo kutoka kwa wananchi na wahudumu wa sekta ya uchukuzi , huku kukiwa na hofu kuwa imechangia kuzidi kwa gharama ya uchukuzi maeneo ya Nyanza

    Wanaharakati hao wamewasilisha waraka , kwa inspekta jenerali wa polisi wakimtaka achukue hatua na kupunguza vizuizi hivyo, vya barabarani, ili kupunguza hata gharama ya uchukuzi eneo hili

    Mwisho

    Na Odera A Wycliffe   

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/wycliffe-aluodo-odera/message

    • 2 min
    PIGO KWA MRADI WA BWAWA LA KORU SOIN

    PIGO KWA MRADI WA BWAWA LA KORU SOIN

    By Odera Wycliffe 

    Wenyeji wa eneo la Koru Soin wameelekea mahakamani, wakitaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bwawa katika eneo la Koru Soin, kwa misingi kuwa hawajahusishwa kama wamiliki asilia wa ardhi inayolengwa

    Wenyeji Husika wakiongozwa na Mzee Charles Maina Wameshikilia kuwa sharti serekali  iwahusishe,  kama wamiliki wa ardhi ya jamii eneo hilo la mpakani 

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/wycliffe-aluodo-odera/message

    • 2 min
    ziara ya waakilishi wadi yaibua Joto kali Kisumu

    ziara ya waakilishi wadi yaibua Joto kali Kisumu

    A heated debate has emerged in Kisumu, where residents and activists have questioned the recent trip by MCAs to the neighbouring Tanzania, 

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/wycliffe-aluodo-odera/message

    • 2 min

Top Podcasts In News

The Global Story
BBC World Service
E o Resto é História
Rui Ramos e João Miguel Tavares
Petit Journal
Petit Journal
A Agenda de Ricardo Salgado
Pedro Coelho
Global News Podcast
BBC World Service
O Assunto
G1