41 episodes

Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza.

Ebenezer Revival International Ministry Ebenezer Revival International Ministry

    • Religion & Spirituality

Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza.

    Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza

    Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza

    .2 Wafalme 2 : 1 - 18

    Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” 

    Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.” 

    Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”

    • 1 hr 14 min
    Kukua Kiroho (Part 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kukua Kiroho (Part 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kwa maana sisi ni matokeo ya kazi ya Mungu tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tuwe na matendo mema ambayo Mungu alikwisha andaa, tuishi katika hayo. (Waefeso 2:10)

    • 1 hr 7 min
    Kukua Kiroho - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kukua Kiroho - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.

    (1 Petro 2:2)

    • 56 min
    Kuteka Baraka Za Wazazi (PART 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kuteka Baraka Za Wazazi (PART 2) - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Ukweli ni kwamba, wazazi ni watu wa muhimu sana kwako bila kujali hali zao za kiroho. Wana upekee fulani katika maisha yako. Kwa maana kupitia wao,wewe ulizaliwa. Upekee huu ni kuhusu “baraka” ambazo Mungu ameruhusu kuziweka kwa wazazi wako.

    • 51 min
    Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Waheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo.

    • 1 hr 20 min
    Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza

    Isaya 6 :1"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha EnziKilicho juu Sana na kuinuliwa Sana

    KUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe

    • 1 hr 1 min

Top Podcasts In Religion & Spirituality

Timothy Keller Sermons Podcast by Gospel in Life
Tim Keller
Tara Brach
Tara Brach
BibleProject
BibleProject Podcast
The Bible in a Year (with Fr. Mike Schmitz)
Ascension
Joel Osteen Podcast
Joel Osteen, SiriusXM
Soul Search
ABC listen