43 episodes

Ni jukwaa la mazungumzo na wanamichezo kuhusu spoti na maisha yao kwa ujumla. Pia inawahusisha viongozi, wakufunzi na wapenzi wa michezo.

Gumzo na Mwanaspoti The Standard Group PLC

    • Sports

Ni jukwaa la mazungumzo na wanamichezo kuhusu spoti na maisha yao kwa ujumla. Pia inawahusisha viongozi, wakufunzi na wapenzi wa michezo.

    Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Bingwa wa tenisi kwa wachezaji chipukizi chini ya miaka kumi na minane, Angela Okutoyi anasema hawaii kubadili uraia.
    Katika mazungumzo na Ali Hassan Kauleni, Okutoyi amesema wazi kwamba licha ya kupata nafasi ya kufanya hivyo ataendelea kuwakilisha Kenya katika mashindano ya tenesi.

    • 18 min
    Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.

    • 26 min
    Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

    Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati mgumu nchini Ethiopia baada ya kujiunga na klabu ya St. George.
    Otema anasema alitengwa na wachezaji wa klabu hiyo kutokana na uzuri wake. Pata uhondo kamili katika Podcast hii.

    • 15 min
    Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

    Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

    Wanariadha wenye asili ya Kenya wamekuwa wakikiwakilisha mataifa mbalimbali baada ya kubadili uraia.
    Merekani, Canada, Bahrain, Qatar, Israel ni miongoni mwa mataifa ambayo yamenufaika pakubwa kutoka kwa wanariadha waliozaliwa nchini Kenya.
    Mwanahabari wetu Walter Kinjo alizungumza na aliyekuwa Kocha wa timu ya taifa ya Riadha Mike Kosgei ambaye ameweka wazi sababu ambazo zimechangia wanariadha kubadili uraia.

    • 6 min
    Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

    Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

    Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano.
    Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha.
    Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.

    • 8 min
    Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda

    Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda

    Dennis Mwenda ambaye ni dereva vilevile msaidizi katika mashindano ya Dunia ya Safari Rally anasema magari ambayo yanatumika na Wakenya katika mashindano ya Safari Rally ya WRC ni ya viwango vya chini.
    Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Dennis anasema kutokana na ukosefu wa ufadhili ni vigumu sana kupata magari vya viwango vya juu kutokana na gharama.
    Dennis ambaye vilevile anaelezea safari yake katika uendeshaji magari ni miongoni mwa madereva ambao watashiriki mashindano ya Safari Rally makala ya mwaka 2022.

    • 10 min

Top Podcasts In Sports

32 Thoughts: The Podcast
Sportsnet
Spittin Chiclets
Barstool Sports
OverDrive
TSN 1050 Radio
Blue Jays Talk
Sportsnet
Pardon My Take
Barstool Sports
Got Yer Back - Rishaug & Strudwick
R.E.V. Media