Giga Afrika Said Sindo
-
- 社會與文化
We focus on people and stories that affect people's lives. We bring topics to light that often go under-reported, listening to all sides of the story and cover the uncovered.
Our Listeners and Viewers trust Giga Afrika to keep them informed, inspired, and entertained.
-
Nishati Jadidifu
Kadri matumizi ya vyanzo vya nishati visizo rafiki kwa mazingira yanavyongezeka, ndivyo uharibifu wa mazingira na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi zinavyozidi kupasua vichwa vya watawala duniani.
Sehemu pekee ya kukimbilia ni kuchagiza matumizi ya nishati jadidifu ambazo ni rafiki kwa mazingira huku wabunifu wa majiko wakisema ubunifu wao umekuwa na tija na fursa kibiashara licha ya gharama kubwa ya kuendesha biashara hiyo.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message -
MAKALA: Wanafunzi wanaovuka Maji ili kuitafuta Elimu
Ni Makala inayaomulika maisha ya kila siku ya wanafunzi 23 wanaovuka maji kila siku kuisaka elimu kutoka kisiwa cha Lulegea Mkoani Geita. Kutokana na kukosekana kwa shule katika kisiwa hicho hulazimika kuvuka maji kwa kutumia mtumbwi kwenda katika kisiwa cha butwa ili kupata elimu hali iliyopelekea watatu kati yao kupoteza maisha wakati wakirudi kutoka shule kutokana na hali ya ziwa kubadilika.
//
It is an Article that highlights the daily lives of 23 students who cross the water every day in search of education from Lulegea Island in Geita Region. Due to the lack of schools on the island they are forced to cross the water using a canoe to Butwa Island to get an education which has resulted in three of them losing their lives on their way back from school due to changing lake conditions.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message -
Rastafari na mtindo wa Maisha
Namna ambavyo jamii imekuwa ikiwachukulia watu wa Rastafari na Imani yao kutokana na wao kuhusishwa katika uvutaji Bangi na matendo mengine yasiyo ya kiungwana.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message