4 分鐘

Mswada wa Fedha wa Mwaka wa 2024/2025: Je, Ni mzigo Mpya Kwa Wananchi‪?‬ Sepetuko

    • 政治

Mswada wa Fedha wa Mwaka wa 2024/2025 una baadhi ya mapendekezo ambayo kimsingi yatamuongezea Mkenya mzigo wa ushuru ambao tayari ni mzito. Sepetuko inakariri kuwa kamwe haiwezekani kwa nchi kujiendeleza kupitia kuwatoza wananchi wake kodi nyingi! Haiwezekani.