4 分鐘

Ruto na Ushuru: Kutatua Deni au Kutatua Ufisadi‪?‬ Sepetuko

    • 政治

Rais William Ruto amekariri kuwa analenga kupandisha hata zaidi ushuru anaotozwa Mkenya, eti ili kupunguza deni la taifa. Sepetuko inamkumbusha Rais kuwa tatizo la Kenya sio la kimapato, ila ni mianya iliyopo ya uporaji wa mali ya umma.