7 episodes

Lets talk football and the team we love.
Tuongelee football, na timu zetu pendwa

Catenaccio BabuMonte

    • Sport

Lets talk football and the team we love.
Tuongelee football, na timu zetu pendwa

    Historia ya Manchester United FC (Part 1)

    Historia ya Manchester United FC (Part 1)

    Episode 11

    Lakini kabla ya Ferguson Man Utd ilikuwepo na tayari ilikuwa moja kati ya timu kubwa barani Ulaya na Duniani.

    Kwa kugusia tu, kwa zaidi ya mara moja Manchester United ishachungulia kaburi la kufilisika na kupotea kabisa lakini wanafanikiwa kurudi dakika za mwisho kama shujaa wa movie za kihindi.

    Kwenye episode hii, tumejikita zaidi kwenye chimbuko la Manchester United kuanzia ilipozaliwa 1878. Tutaenda sote taratibu mpaka tutafika 2022 katika mfululizo wa Episode 4.

    Karibu sana.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 13 min
    Catenaccio: Episode 10 - FPL GW2 (TotalFootball)

    Catenaccio: Episode 10 - FPL GW2 (TotalFootball)

    Kinara wa Catenaccio Fantasy League GW2, Henry Lwila, anatupiga msasa kuhusu kuchagua wachezaji na anagusia mawili matatu juu ya Premier League na timu yake pendwa Arsenal FC.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 50 min
    Catenaccio: Episode 8 - European Super League

    Catenaccio: Episode 8 - European Super League

    Jaribio la "vilabu vikubwa" barani ulaya kuanzisha mashindano yao, mbadala wa UEFA Champions League ilizua taharuki na mvutano mkubwa sana.

    Kwenye episode ya nane tutajaribu kugusia yaliyosababisha yote hayo na kwanini timu huwa zinafikia kuanzisha michuano mbadala. Ungana nasi na twende pamoja na usisahau kutupa mrejesho.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 23 min
    Catenaccio S01E05: Liverpool v Arsenal

    Catenaccio S01E05: Liverpool v Arsenal

    Utamsikia Ozil na Said wakizungumzia Liverpool v Arsenal. Mshindi wa Catenaccio Fantasy GW2 kaingia mitini.

    #Catenaccio #PremierLeague #FantasyPremierLeague

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 40 min
    Catenaccio Pilot Episode

    Catenaccio Pilot Episode

    Episode ya kwanza kabisa kwenye Catenaccio Podcats.

    Utapata kuwasikia wadau tofauti tofauti wakichangia waliokuwa nayo kuhusu #Football na na timu zao kwenye #Premier League.

    Kikubwa kinachozungumziwa humu ni kila mmoja kusifia timu yake, na maoni yake juu ya mustakabali mzima wa timu yake.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 23 min
    Catenaccio FPL - Manager of GW1: Idriss

    Catenaccio FPL - Manager of GW1: Idriss

    Manager wa Gameweek 1, Idriss anatamba na team yake Manyumbu FC. Tutapata pia na kumsikia akigusia mawili matatu juu ya Catenaccio Fantasy League na Premier League kwa ujumla wake. 

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/catenaccio255/message

    • 29 min

Top Podcasts In Sport

Stick to Football
The Overlap
The Overlap with Gary Neville
Sky Bet
Up Front with Simon Jordan
Folding Pocket and William Hill
Football Weekly
The Guardian
The Rest Is Football
Goalhanger Podcasts
OTB Rugby
OTB Sports