Pastor Richard Mbuguni Richard Mbuguni
-
- Religion & Spirituality
KULIFUNDISHA NENO LA MUNGU ILI KUBADILI MAISHA YA WATU.
(TEACHING THE WORD OF GOD TO TRANSFORM LIVES.)
-
KUTAFAKARI HUZAA UDHIHIRISHO.
Ipo nguvu katika kutafakari. Ili kupata matokeo ya yale tunayoyahitaji ni lazima kutafakari na kutafakari kwetu kunapaswa kuwa ni katika neno la MUNGU kama msingi wetu. MUNGU akubariki unaposikiliza.