104 episodi

Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.

Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.

Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.

Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.

Maisha Ni Kuthubutu Podcast Innocent Ngaoh

    • Istruzione

    Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.

    Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.

    Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha.

    Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua.

    Kwa sababu...

    Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha.

    Kwahiyo...

    Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k.

    Kwa kujua kwanini pesa zako zinaenda pale na siyo hapa na kwanini hapa na siyo kule.

    Kwa sababu bajeti inakusaidia kurekodi na kujua mtuririko wa matumizi yako.

    Swali linakuja,

    Je, wewe unapanga bajeti ya fedha zako au kikubwa uhai?

    Basi...

    Leo na habari njema kwako kwamba kupitia Kanuni ya 60/10/10/10/10 utaweza kuwaga fedha yako Katika makundi matano;

    1. Kutumia kwenye matumizi ya lazima (Basic needs)

    2. Kutumia kwenye starehe na burudani (Wants),

    3. Kuweka akiba na uwekezaji (Saving and investing),

    4. Kutoa fungu la kumi,

    5. Kuweka fedha ya dharura (Emergency fund).

    Hivyo basi...

    Kanuni ya 60/10/10/10/10 kuilewa vizuri ni wakati sahihi wa kusikiliza episode ya 42 ya ujazo imeeleza kila kitu na mifano kama yote.

    Ushindwe wewe tu...

    Chukua hatua Sasa Kwa kubofya link hapo chini sasahivi kusikiliza madini.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 9 min
    Sifa 04 Zinazonyesha Wewe Ni MNYENYEKEVU Kwenye Maisha Yako...!

    Sifa 04 Zinazonyesha Wewe Ni MNYENYEKEVU Kwenye Maisha Yako...!

    Hivi unajua nguvu ya unyenyekevu kwenye maisha yako? Basi fahamu sifa 04 za mtu mnyenyekevu kupitia episode hii.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 10 min
    Njia Rahisi Ya Kujenga Uwezo Wa Kujiamini Ndani Ya Dakika 3...!

    Njia Rahisi Ya Kujenga Uwezo Wa Kujiamini Ndani Ya Dakika 3...!

    Unahitaji sana kujiamini kuliko unavyofikiri, episode ya dakika 6 itakusaidia kuongeza uwezo wa kujiamini kwa njia rahisi kabisa.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 6 min
    Kama Haupendi Kusoma VITABU Fanya Hivi Kupata Maarifa Kiurahisi...!

    Kama Haupendi Kusoma VITABU Fanya Hivi Kupata Maarifa Kiurahisi...!

    Upende au usipende unahitaji sana maarifa na taarifa kupitia kujifunza, umejaribu kusoma vitabu umeshindwa? Basi episode hii itakusaidia kujua sehemu gani rahisi unaweza kupata maarifa kiurahisi kwenye eneo lolote na upige hatua kwenye maisha yako.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 8 min
    Namna Rahisi Ya Kujenga NIDHAMU YA KAZI Na Ufanikiwe Zaidi Maishani...!

    Namna Rahisi Ya Kujenga NIDHAMU YA KAZI Na Ufanikiwe Zaidi Maishani...!

    Hivi unajua Nidhamu ya kazi ndiyo inatofautisha wafanyakazi makini na wafanyakazi wakawaida. Kiwango cha mafanikio yako inategemea Sana kiwango cha nidhamu binafsi.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 7 min
    Zijue Aina 05 Za Nidhamu Zenye Kuleta Mafanikio Makubwa...!

    Zijue Aina 05 Za Nidhamu Zenye Kuleta Mafanikio Makubwa...!

    Hivi unajua Kiwango Cha Mafanikio Yako inategemea sana na Kiwango Cha Nidhamu Yako.

    Kupitia episode hii utajua Aina Tano za Nidhamu Zenye Kuleta matokeo Makubwa kama utazingatia na kuziishi kwenye maisha Yako.

    Unahitaji sana kuwa na Kiwango kikubwa Cha Nidhamu.

    Sikiliza na uanze kufanikiwa Kwa kuwa utaanza kuishi Kwa Nidhamu kwe ye maisha Yako.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message

    • 10 min

Top podcast nella categoria Istruzione

6 Minute English
BBC Radio
TED Talks Daily
TED
Il Podcast di PsiNel
Gennaro Romagnoli
Learning English Conversations
BBC Radio
Learning Easy English
BBC
Learning English Vocabulary
BBC Radio