6本のエピソード

Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.

Darasa Duara Abu Hunayf Amri Bakary

    • 宗教/スピリチュアル

Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.

    Adhabu au Zawadi???? Ni ipi njia sahihi ya ufundishaji?

    Adhabu au Zawadi???? Ni ipi njia sahihi ya ufundishaji?

    Kwa ajili ya ta athiri na tija ya kuelewa mafunzo...njia ipi itumike? Waweza kuwa unalengo la kujenga lakini kutokana na njia unazotumia kufikia lengo...ukajikuta wabomoa badala ya kujenga. Na hii huenda ikawa sababu ya wanazuoni kukinzana.

    • 39分
    Je mwanadamu ni mwema???

    Je mwanadamu ni mwema???

    Ni ipi hakika ya asili ya mwanadamu? Mwema afanyae maovu, au muovu anayejitahidi kufanya mema??? Jiunge na vijana 30 wakijaribu ku bahathi kwa kurejea thibiti mbalimbali za kihistoria.

    • 50分
    Penda ulichonacho.

    Penda ulichonacho.

    Yamkini kauli ya wahenga; "bora tisa kenda shika kuliko 10 nenda rudi" haikudanganya...kabisaaa!!!

    • 1分
    Misingi katika maisha ( Foundation)

    Misingi katika maisha ( Foundation)

    Pumbazika na mkusanyiko wa nukuuu, hadithi na fasihi zenye kuelimisha kutoka katika mkusanyiko wa vitabu tofauti tofauti.

    • 1分
    Darasa Duara (Trailer)

    Darasa Duara (Trailer)

    • 30秒
    Mu injilisti kwenye gari!

    Mu injilisti kwenye gari!

    Umepanda gari ukamkuta mu injilisti akihubiri...je wewe kama kijana wa kiislam yafaa kuskiliza? Kutana na mjadala wa vijana wa kiislam wakikubaliana kutofautiana na ili kupata kuelewa mitizamo ya watu wengi...kila mtu anachangia...sasa upi usahihi??? Sikiliza!

    • 29分

宗教/スピリチュアルのトップPodcast

Dr.Recella presents 江原啓之 おと語り
TOKYO FM
Temple Morning Radio
松本紹圭
オカルト捜査官のFOIラジオ
FOIオカルト捜査官
What The Pastors!! -WTP-
PBA
引き寄せの法則&量子力学 ~お金・理想のパートナー・仕事・健康・願望実現・時間、場
ナオト
聞くだけで心が晴れる🌱仏教入門ラジオ
よしおか@仏教の専門家