4 episodes

Hatua 6 za Safari kuelekea kwenye biashara inayojiendesha

HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE Azhar Juma

    • Business

Hatua 6 za Safari kuelekea kwenye biashara inayojiendesha

    MTU MWENYE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA LAKINI BIASHARA INAKUA-( Aina ya tatu)

    MTU MWENYE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA LAKINI BIASHARA INAKUA-( Aina ya tatu)

    Je huyu biashara yake ipoje kimapato?. 1. Biashara inaingiza faida 2. Matumizi ya mwenyewe biashara ni makubwa kuliko faida anayoingiza. 3. Tofauti na ile aina ya pili, hii ni biashara ina uwezo wa kuongeza wateja, mauzo na faida hatimaye kuifanya faida yake kuwa kubwa na kutosheleza matumizi binafsi.

    • 8 min
    MTU MWENYEWE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA-(Aina Ya Pili)

    MTU MWENYEWE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA-(Aina Ya Pili)

    Je, Mtu huyu biashara yake ipoje kimapato na ukuaji??Mtu wa namna hii biashara yake inampa faida hata hivyo faida yake inakuwa ni ndogo sana. Kwasababu ya udogo wake vitu viwili vikubwa vinatokea, i) biashara haikui ii)Faida haitoshi kukidhi mahitaji yake binafsi.

    • 5 min
    Mtu Asiye Na Shughuli Inayomwingizia kipato Afanyeje-AINA YA MTU WA 1?

    Mtu Asiye Na Shughuli Inayomwingizia kipato Afanyeje-AINA YA MTU WA 1?

    Podcast hii na Epsode hii ya pili inazungumzia Tabia za mtu asiyekuwa na shughuri inayomuingizia kipato. Mtu huyu yupo katika hatu ya kwanza katika HATUA SITA ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA. Je mtu huyu ana tabia zipi ? Tuskilize kwa pamoja ndani ya Podcast hii sasa hivi😋😋😋

    • 7 min
    HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE

    HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE

    *HATUA 6 KUELEKEA SAFARI YA BIASHARA INAYOJIENDESHA*

    *Aina ya Kwanza:* Aina hii inamhusu mtu ambaye hana aina yeyote ya shughuli ambayo inamuingizia kipato. Mtu huyu anaishi kwa kutegemea misaada kutoka kwa ndugu, marafiki,na jamaa.

    *Aina ya Pili* : Aina hii inamhusu mtu ambaye anabiashara ila kipato chako ni kidogo. Kipato hichi cha biashara hakimtoshelezi kukidhi mahitaji ya maisha yake ya kila siku kiasi cha chini kabisa. Pia biashara yake, haionyeshi dalili yeyote ya kukua. Kwa sababu kipato hakitoshi mara nyingi naye anakuwa wakati mwingine anategemea ndugu na jamaa kufidia pengo la kipato.

    *Aina ya Tatu* : Huyu ni mtu ambaye kipato chake ni kidogo, lakini kutokana na juhudi zake, kipato chake kinaongezeka siku hadi siku. Changamoto ni kuwa, kila kipato kinapoongezeka, pia matumizi yanaongezeka. Kwa hiyo matumizi yake huwa ni makubwa kuliko mapato siku zote.

    *Aina ya Nne:* Huyu ni mtu biashara yake inafanya vizuri, na kipato chake ni kizuri. Uzuri wa mtu huyu ni kwamba kipato anachopata, ni sawa na matumizi. Kwa maana nyingine kila faida anayopata, anaitumia yote katika matumizi yasiyohusu biashara. Mara nyingi mtu huyu na nafasi kubwa ya kwenda juu zaidi, pia ananafasi kubwa zaidi ya kwenda chini kama biashara itayumba au matumizi yakaongezeka ghafla.

    *Aina ya Tano:* Huyu ni mtu biashara yake inafanya vizuri, na kipato chake ni kikubwa kuliko matumizi. Kila inapofika mwisho wa mwezi, anauwezo wa kuigwa faida. Kiasi cha faida anatumia katika matumizi yasiyokuwa ya kibiashara, na baadhi ya pesa anaweza kuweka akiba kwa lengo la kukuza biashara baadae.

    *Aina ya Sita:* Huyu ni mtu biashara yake inafanya vizuri sana. Inatengeneza faida kubwa, na anauwezo wa kuweka akiba kwa lengo la kukuza biashara. Kizuri zaidi ya yote, mtu huyu ametengeneza mfumo wa biashara. Badala ya mwanzilishi wa biashara kuiendesha yeye mwenyewe kila kitu, MFUMO ndo unaendesha biashara hii. Mtu huyu ana uwezo wa kusafiri kwa muda mrefu kwenye biashara yake bila kuadhiri utendaji wa biashara.

    • 7 min

Top Podcasts In Business

The Diary Of A CEO with Steven Bartlett
DOAC
Meine YouTube Story - Der Creator Podcast
Sina Stieding, Georg Nolte, Michalina Seekamp, Christian Lutterbeck
උතුරු තරුව | Uthuru Tharuwa
Neon Media
My First Million
Hubspot Media
Morning Brew Daily
Morning Brew
සෙනසුරු අතුරුදහන් - Senasuru Athurudahan
Neon Media