3 min

Heko Rais Ruto Kwa Kushughulikia Malalamishi ya Kenyatta Sepetuko

    • Politics

Suala la mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta halistahili jopo, ni suala ambalo sheria za nchi zinatosha katika kulitatua. Kenyatta anauliza kipi kilifanyika kwa mgao wake wa bajeti kwa miaka miwili, kwa mfano, haihitaji jopo kujibu swali hilo.