24 episodes

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Habari RFI-Ki RFI Kiswahili

    • News

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

    Matukio ya ajali za moto katika nchi tofauti Afrika Mashariki ikiwemo Bukavu DRC

    Matukio ya ajali za moto katika nchi tofauti Afrika Mashariki ikiwemo Bukavu DRC

    • 10 min
    Mvutano kati ya serikali ya Kenya kuhusu mafao ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mvutano kati ya serikali ya Kenya kuhusu mafao ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Ofisi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta imelalamikia kuhujumiwa kwa kutopewa ufadhili unaofaa

    • 10 min
    Visa vya raia kuwashambulia maofisa wa polisi vimeendelea kuongezeka Afrika

    Visa vya raia kuwashambulia maofisa wa polisi vimeendelea kuongezeka Afrika

    Kisa cha hivi punde nchini Kenya ambapo raia alimshambulia ofisa wa polisi ,kimeibua mjadala 

    • 10 min
    Jukumu la jumuiya ya kimataifa kumaliza mzozo wa nchi ya Sudan

    Jukumu la jumuiya ya kimataifa kumaliza mzozo wa nchi ya Sudan

    Mashirika ya kutetea haki za binadaam yametuhumu jumuiya ya kimataifa kwa kushindwa kumaliza mzozo wa Sudan

    • 9 min
    Maoni yako kwenye makala Habari Rafiki mada Huru

    Maoni yako kwenye makala Habari Rafiki mada Huru

    • 9 min
    Nini suluhu ya hali ya msongamano kwenye magereza ya nchi za Afrika Mashariki

    Nini suluhu ya hali ya msongamano kwenye magereza ya nchi za Afrika Mashariki

    Nchini DRC, mashirika ya kutetea haki za binadamu yakitaka serikali kuboresha mazingira ili kuepuka vifo na ukiukwaji wa haki za wafungwa,mwaka uliopita, vifo zaidi ya 500 vilirekodiwa katika gereza kuu la makala nchini DRC.

    • 9 min

Top Podcasts In News

Forklart
Aftenposten
Oppdatert
NRK
Aftenpodden
Aftenposten
Ukraine: The Latest
The Telegraph
Chit Chat med Helle
Helle Nordby & Acast
Det Store Bildet
Brandpeople og Bauer Media