ROAD TO SUCCESS Roadtosuccesstz
-
- Business
Road to success podcast is here to educate, inspire and transform you.
-
UNIQUE SELLING PROPOSITION [USP]
Unique selling proposition.
Unique selling point.
Competitive advantage -
MAISHA NI BIASHARA #LAMECK+RODRICK
MAISHA ni biashara with Lameck John
-
-
WHAT HAPPENED TO THOSE DREAMS?? NINI KILITOKEA?
Nini KILITOKEA kuhusu zile ndoto za utotoni?? Ukiamini kwamba huwezi basi hautoweza. Lakini ukiamini kwamba naweza, ufahamu wako utatengeneza njia za kuweza.
-
UNACHOKIONA NI KIDOGO
Ukijifunza kuona bila macho utaweza kuona makubwa zaidi. Sikiliza mpaka mwisho.
-
START 2023 STRONG💪
Jinsi ya kuanza Mwaka Kwa nguvu. Fanya yafuatayo. Sikiliza hii Kabla January kuisha