Выпусков: 3

A podcast hosted by Richard Maguluko also known as Rcihstar, a Young Creative Entrepreneur, Digital Tutor. Who Educates and Motivates Young Creative People and to Stand Up for The Future of Creativity. The Podcast show is about empowering and educating creatives to take control of their lives and their careers!.

Sauti ya Richstar Richard Maguluko

    • Образование

A podcast hosted by Richard Maguluko also known as Rcihstar, a Young Creative Entrepreneur, Digital Tutor. Who Educates and Motivates Young Creative People and to Stand Up for The Future of Creativity. The Podcast show is about empowering and educating creatives to take control of their lives and their careers!.

    Sababu za kuwa na Uchache sana wa Graphics designer wanawake Tanzania?

    Sababu za kuwa na Uchache sana wa Graphics designer wanawake Tanzania?

    Kuna Siku ulizuka Mjadala katika moja la group la waddau wa  Graphics design Tanzania kuhusiana na Sababu za kuwa na Uchache sana wa Graphics designer wanawake Tanzania?. Nikaona nimtafute mmoja wa mdada anaefanya Graphics design. Akaelezea kwa mantiki mbili ambazo ni

    Changamoto 
    Tabia ama Hulka

    Je una Maoni tofauti na haya basi usisite kuandika hapa ili na wengine wajifunze na kufahamu zaidi

    • 9 мин.
    Vitu vinavyoweza kukuingizia PATO la ziada, ukiwa graphics designer

    Vitu vinavyoweza kukuingizia PATO la ziada, ukiwa graphics designer

    Katika Kipindi hiki nimezungumzia vitu ambavyo Unaweza ukavifanya ukiwa Graphics designer, Photographer, videographer anaeanza katika fani hizi. Ni changamoto kubwa sana hasa tunapoanza kwa maana tunahitaji support kubwa ya kiuchumi ili ituwezeshe kutimiza malengo yetu kwa wakati muafaka, hivyo ni vyema kuwa na vyanzo tofauti tofauti vya mapato.

    • 12 мин.
    Jinsi ya kujifundisha Graphics design

    Jinsi ya kujifundisha Graphics design

    Katika Audio hii nimetoa ushauri ni vitu gani unaweza ukavifanya ili uweze kujifunza Graphics design pasipo kwenda Shule/Chuo/Collage.

    Suala hili limekuja baada ya Swali la Kaka umesomea chuo gani maswala haya ya Graphics Design?. Endapo Utaisikiliza Audio hii mpaka mwisho basi utakuwa Umepata mwanga na uelekeo wa wewe sehemu za kupitia ili uweze kufanikiwa zaidi katika wanda huu wa Graphics Design

    • 13 мин.

Топ подкастов в категории «Образование»

Начнем с понедельника
Start Monday
Не учи меня жить
Научись искусству помощи себе (с Аленой Борьессон)
Как показать солнце: японская культура в СССР
Музей «Гараж»
TED Talks Daily
TED
Справиться проще
Истомина Карина, Наташа Каданцева
Английский язык по плейлистам с нуля и до продвинутого. Практически
Александр Бебрис