![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
3 episodes
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
UNCDF Lenga Podcasts UNCDF Tanzania
-
- Education
In these podcasts you will learn about the importance of setting goals and making actionable saving plans. You will hear from difference guest hosts - who will be speaking with the Baba and Mama Malengo about their experiences with Saving Groups, Loans and using a Mobile phone as a bank.
These were developed by Khanga Rue Media in collaboration with UNCDF Tanzania
-
UNCDF Lenga Podcasts: Simu Yako Inaweza Kuwa Benki
Kwenye episode hii utajifunza namna ambavyo unaweza kutumia simu yako kama benki na pia sehemu ya kujipatia taarifa mbali mbali
Imeletwa kwako na UNCDF kwa ushirikiano na Khanga Rue Media -
UNCDF Lenga Podcasts - Vikundi vya Kuweka Akiba na Kukopa (VICOBA)
Hapa utajifunza namna Vikundi vya Kuweka Akiba na Kukopa (VICOBA) vinavyoweza kukusaidia kuweka akiba na kukopa ili uweze kufikia malengo yako ya kifedha. Utajifunza pia namna ambavyo VICOBA vinafanya kazi, muundo wake na pia utaweza kuona kwamba hivi vikundi vinasaidia hata kupata michango ya kijamii.
Somo hili limeandaliwa na Khanga Rue Media kwa ushirikiano na UNCDF. -
UNCDF Lenga Podcasts - Mikopo
Kwenye kipindi hiki utajifunza kuhusu mikopo, wakati unashauriwa kukopa na majukumu ya mikopo.