24 episodes

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa RFI Kiswahili

    • News

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa

    Nini haki za wafanyakazi duniani ?

    Nini haki za wafanyakazi duniani ?

    Kila tarehe 1, ni maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani. Wafanyakazi wanatumia siku hii kusherehekea mafanikio yao na kuendeleza mapambano ya haki zao. Je, siku hii ina umuhimu gani ? Wageni wetu ni Nice Mwansasu kutoka  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) na mwanasheria wa masuala ya ajira kutoka Kenya Elvis Abenga

    • 10 min
    Mwaka mmoja wa mapigano nchini Sudan kati ya jeshi la serikali na RSF

    Mwaka mmoja wa mapigano nchini Sudan kati ya jeshi la serikali na RSF

    Wiki hii, ilikuwa ni mwaka mmoja wa vita nchini Sudan, kati ya jeshi la taifa chini ya Jenerali  Abdel Fattah al-Burhan na wanamgambo wa RSF wanaongozwa na Jenerali Mohammed Hamdan Dagalo.

    • 9 min
    Uhusiano kati ya Somalia na Ethiopia waendelea kuingia baridi

    Uhusiano kati ya Somalia na Ethiopia waendelea kuingia baridi

    Wiki iliyopita, Somalia ilimfukuza nchini mwake Balozi wa Ethiopia Mukhtar Mohamed kwa madai kuwa nchi hiyo inaingilia mambo yake ya ndani.

    Mwezi Januari, mzozo wa kidiplomasia ulianza kushuhudiwa nchini humo baada ya Ethiopia kuingia kwenye makubaliano na jimbo la Somaliland, kutafuta njia ya kufika baharini na kujenga kambi ya jeshi kwenye ukanda wake wa pwani.

    Nini hatima ya mvutano huu ?

    • 9 min
    Maadhimisho ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda ,ulimwengu umejifunza nini?

    Maadhimisho ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda ,ulimwengu umejifunza nini?

    Kumbikizi ya miaka 30 tangu mauaji ya kimbari yaliyosababisha vifo vya watu hadi laki 8 ,kuna wito wa ulimwengu kuhakikisha watuhumiwa zaidi kusakwa  na mataifa yaweke mikakati kuzuia mauaji kama haya kutojirudia

    • 9 min
    Raia wa Senegal wamchagua Faye kuwa rais wao mpya

    Raia wa Senegal wamchagua Faye kuwa rais wao mpya

    Bassirou Diomaye Faye amechaguliwa kuwa rais mpya wa Senegal.

    Faye mwenye umri wa miaka 44, mshirika wa karibu wa mwanasiasa mwenye ushawishi Ousamane Sonko, ameahidi kufungua ukura mpya wa uongozi wa nchi hiyo.

    Kwanini raia wa Senegal wamemchagua Faye ? Tunachambua pamoja na Mali Ali akiwa jijini Paris, na Lutege Musa Lutege akiwa jijini Dar es salaam.

    • 10 min
    Makala haya yanatupia jicho uchaguzi wa urais nchini Urusi, nini maana ya ushindi wa rais Vladimir Putin.

    Makala haya yanatupia jicho uchaguzi wa urais nchini Urusi, nini maana ya ushindi wa rais Vladimir Putin.

    • 10 min

Top Podcasts In News

THE STANDARD PODCAST
THE STANDARD
Global News Podcast
BBC World Service
SONDHI TALK
sondhitalk
The Daily
The New York Times
Economist Podcasts
The Economist
The MATTER Podcast
The MATTER

More by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa
RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
RFI Kiswahili
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI Kiswahili
Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
RFI Kiswahili
Jukwaa la Michezo
RFI Kiswahili