Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho RFI Kiswahili
-
- Science
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
-
Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika
Kulingana na jumuiya ya IGAD, zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.
-
-
Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asili
-
Kenya: Upanzi wa mimea yenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
-
Tamasha la mazingira liliandaliwa jijini GOMA nchini DRC
-
Wakulima nchini Kenya wajiandaa kwa msimu wa kupanda