African Generational Wealth David Jumon
-
- 商業
This is All About Wealth Creations And How To Make African Youth Wealthy through Leverage Of Technology We Have!
( Humu Tunaongelea Namna Ya Kutengeneza Utajiri Unao Dumu Na Namna Vijana Wa Kiafrika Wanaweza Kuwa Matajiri Kupitia Unzani MKubwa Uliopo Wa Teknolojia)
-
TAFUTA NA JENGA UJUZI MAALUMU (FIND AND BUILD SPECIFIC KNOWLEDGE)
Ujuzi Maalumu Ndio Unatofautisha Watu Katika Maeneo Yao Ambayo Wana Weza Sana Kuwa Na Ufanisi Mkubwa Kuliko Mtu Mwingine wa Kawaida...
-
FEDHA NA UTAJIRI (MONEY vs WEALTH)
Kila Siku Fedha Zinatumika Kuendesha Maisha Yetu, Na Kila Mara Tunasikia Mtu Flani Ni Tajiri Au Ana Utajiri Kadhaa, Lakini Si Wote Wana Uelewa Juu Ya Fedha Na Utajiri Unatoutianaje na Utajiri Unatengenezwa Vipi. Pata Kujifunza Zaidi Jinsi Gani Fedha Na Utajiri Vina husiana Na Namna Gani Sisi Kama Vijana Tunaweza Kuleta Mabadiliko Ya Kiuchumi Katika Bara Letu La Afrika Na Nchi zetu. Ungana Nasi Tujifunze Wote!!
-
Welcome! Fam 😊 To The Brainstorming Podcasts In Africa
We Share Knowledge, Skills & Experiences In Entrepreneurship Journey And how To Structure Our Path Way To Make Impacts In Our Communities.