Anthony ametupa chachu na hamasa kwenye Data Science, Machine Learning and AI kwa nchi zinazoendelea Yesaya Software Podcast
-
- Education
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Anthony Faustine, yeye ni ni Data Scientist na Mtafiti kwenye masuala Machine Learning. Anafanya kazi kwenye kampuni mojawapo huko Ireland akaimplement Data Analytics na Artificial Intelligence Solutions kwenye maeneo mbalimbali. Pia Anthony amejikita kwenye kutumia machine learning, deep learning, data science, na signal processing kutengeneza computational models, methods, and tools ili kusaidia watunga sera kubuni suluhisho na sera bora zaidi kwa maendeleo endelevu.

33 min