38 episodes

Podcast ya dakika 60 ipo based on
twitter ambapo inafanyika
interview kwa njia ya simu ya
mkononi ambapo yanaulizwa
maswali tofauti tofauti kwa
mmoja wa watu ambae
atabahatika kupigiwa simu siku ya Ijumaa. Katika Phone call fotty ataongea na Influencers,wafanyabiashara,wasanii na watu wenye kuleta mabadiliko kwenye jamii.

PHONECALL PODCAST Fotty

    • News
    • 4.3 • 25 Ratings

Podcast ya dakika 60 ipo based on
twitter ambapo inafanyika
interview kwa njia ya simu ya
mkononi ambapo yanaulizwa
maswali tofauti tofauti kwa
mmoja wa watu ambae
atabahatika kupigiwa simu siku ya Ijumaa. Katika Phone call fotty ataongea na Influencers,wafanyabiashara,wasanii na watu wenye kuleta mabadiliko kwenye jamii.

    S04EP02 with Lucas Malembo 🚜

    S04EP02 with Lucas Malembo 🚜

    Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kutengeneza ajira kwa vijana wengi na vile vile kuikuza nchi yetu ki uchumi. Wengi tumemzoea Lucas Malembo akiongelea kilimo mara kwa mara ila kwenye episode hii amegusia mambo aliyopitia kwenye maisha yake kupelekea kuzaliwa kwa "Malembo Farm". Ni matumaini yangu utafurahia mahojiano haya na kujifunza mambo mengi

    • 1 hr 24 min
    S04EP01 with BIG 👶🏽

    S04EP01 with BIG 👶🏽

    Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa anatengeneza memes kwa njia ya picha na watu wengi wamekua wakifurahishwa na ubunifu wake. Tumeongea kuhusu mtandao uliompa yeye umaarafu na story nyingine kibao kumuhusu yeye. Natumaini utaenjoy mahojiano haya.

    • 58 min
    S03EP08 with Joyce Kiango📝

    S03EP08 with Joyce Kiango📝

    Mwalimu ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu na walimu wamebadilisha maisha ya watu wengi sana. Leo nimefanya mahojiano na mwalimu wa watoto wadogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, tumezungumzia mambo mengi ikiwemo pia safari yake ya maisha mpaka kufikia hapo alipofikia sasa ivi na jinsi gani kumpoteza mama ake kulimfanya apitie kipindi kigumu sana kwenye maisha yake. Ni matumaini yangu utafurahia mahojiano haya na pia kuna kitu utajifunza.

    • 57 min
    S03EP07 with Wakazi

    S03EP07 with Wakazi

    Wakazi

    • 1 hr 54 min
    S03EP06 with Gillsaint🧠

    S03EP06 with Gillsaint🧠

    Gillsaint

    • 55 min
    S03EP05 with Mwaisa 🐒

    S03EP05 with Mwaisa 🐒

    Mwaisa

    • 31 min

Customer Reviews

4.3 out of 5
25 Ratings

25 Ratings

Ruky255 ,

Best Podcast

Idea nzuri sana na mpangilio wa maswali ni wa kipekee

sam henrq ,

Kazi nzuri

Big up bro

Ibrahim Kungunya ,

Feedback

Kazi nzuri. Show iko poah sana @fotty. Kaza.

Top Podcasts In News

The Global Story
BBC World Service
Global News Podcast
BBC World Service
The Tucker Carlson Podcast
Tucker Carlson Network
Salama Na
Salama Na
MURUMBA PODCAST
Mirumba Ya Ṅwali FM
MOATS with George Galloway MP
Molucca Media Ltd