3 episodes

Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili.

Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.

@Sehemu ya TechMsaada,
www.techmsaada.com

Teknokona Group LTD.

Teknokona - Kona ya Teknolojia TeknoKona - Kona ya Teknolojia

    • News
    • 5.0 • 1 Rating

Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili.

Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.

@Sehemu ya TechMsaada,
www.techmsaada.com

Teknokona Group LTD.

    Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus

    Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus

    Ushawahi kusikia kuhusu visu vya Damascus?

    Ingawa unaweza kusikiliza kama Podcast, ila kujionea vizuri na kuelewa tembelea akaunti yetu ya YouTube kuangalia episode hii.

    • 4 min
    Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable

    Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable

    Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu

    Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
    Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
    Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
    Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo

    Usisahau kuungana nasi kupitia:

    www.twitter.com/teknokona

    www.instagram.com/teknokona

    www.facebook.com/teknokona

    www.instagram.com/techmsaada

    www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.

    www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.

    • 31 min
    Kona ya Teknolojia - S01E01 - Mokiwa & Eric, Mada: AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework

    Kona ya Teknolojia - S01E01 - Mokiwa & Eric, Mada: AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework

    Katika toleo la kwanza la Podcast kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu habari na vitu vipya vinavyohusu teknolojia za AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework.

    Fahamu zaidi kuhusu ChatGPT (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/2AuD4Qy-Jh0

    Fahamu historia ya Boston Dynamics (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/9TDFOelZN9c

    Laptop za Framework - Framework | Framework Laptop 16 pre-orders are now open

    Usisahau kuungana nasi kupitia:

    www.twitter.com/teknokona

    www.instagram.com/teknokona

    www.facebook.com/teknokona

    www.instagram.com/techmsaada

    www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.

    www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.

    • 29 min

Customer Reviews

5.0 out of 5
1 Rating

1 Rating

Top Podcasts In News

Salama Na
Salama Na
Global News Podcast
BBC World Service
Focus on Africa
BBC World Service
Economist Podcasts
The Economist
John Anderson: Conversations
John Anderson
Post Reports
The Washington Post