9 min

Uhusiano kati ya Somalia na Ethiopia waendelea kuingia baridi Wimbi la Siasa

    • News

Wiki iliyopita, Somalia ilimfukuza nchini mwake Balozi wa Ethiopia Mukhtar Mohamed kwa madai kuwa nchi hiyo inaingilia mambo yake ya ndani.

Mwezi Januari, mzozo wa kidiplomasia ulianza kushuhudiwa nchini humo baada ya Ethiopia kuingia kwenye makubaliano na jimbo la Somaliland, kutafuta njia ya kufika baharini na kujenga kambi ya jeshi kwenye ukanda wake wa pwani.

Nini hatima ya mvutano huu ?

Top Podcasts In News

Salama Na
Salama Na
Global News Podcast
BBC World Service
Africa Daily
BBC World Service
WSJ What’s News
The Wall Street Journal
The Game Football Podcast
The Times
Newt's World
Gingrich 360