Episode 3 – Risk groups of coronavirus and quarantine - Makundi yaliyo hatarini zaidi na karantini

Ifahamu Corona - Anatomy of Corona Podcast

Kwenye kipindi cha tatu cha Ifahamu Corona tutasikia kundi gani lipo hatarini zaidi kupata virusi vya corona na kuhusu karantini. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu magonjwa ambao yanaweza kukuweka kwenye hatari ya kuambukizwa na inachukua muda gani kupona ukiathirika na virusi vya corona.

In the third episode of Anatomy of Corona, we will hear about coronavirus risk groups and quarantine. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health Tanzania will answer questions about which groups are prone to infectious diseases such as the coronavirus and how long does it take to heal from the coronavirus.

To listen to explicit episodes, sign in.

Stay up to date with this show

Sign in or sign up to follow shows, save episodes and get the latest updates.

Select a country or region

Africa, Middle East, and India

Asia Pacific

Europe

Latin America and the Caribbean

The United States and Canada