Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii
Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni.
Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru vijana?
Sikiliza sehemu hii ya pili upate majibu ya maswali hayo.
Information
- Show
- Published24 January 2018 at 16:04 UTC
- RatingClean