Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ameliambia jukwaa la kiuchumi duniani WEF huko Davos Uswisi kwamba ukosefu wa ushirikiano wa kimataifa unaiweka rehani dunia kwa majanga ya mabadiliko ya tabianchi na AI-Mradi wa mfuko wa kimataifa wa ufadhili wa maendeleo ya kilimo IFAD waimarisha kiuchumi watu wenye ulemavu wa kuona Liberia-Makala inatupeleka jimboni Kandahar Afghanistan kukukutanisha na mkulima wa ngano aliyenufaika na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO unaotoa mafunzo ya kilimo, kugawa mbegu na pembejeo kwa wakulima-Na mashinani tunabisha hodi Kenya kumsikia mkimbizi mfanyabiashara ndogo ndogo,
Information
- Show
- Channel
- FrequencyUpdated daily
- Published22 January 2025 at 15:37 UTC
- Length12 min
- RatingClean